Malezi na Elimu ya Kiinjili katika Nchi inayoendelea Tanzania

Mchango kwa Mazungumzo ya Tamaduni mbalimbali za Makanisa ya Kiinjili

Judah B.M. Kiwovele aliandika doctoral thesis hii mwaka wa 1982. Alijaribu kuunganisha mapokeo ya kiutamanduni ya kibena na mafundisho ya Martin Luther ili kuonyesha njia ya "inculturation" ya Imani ya Kikristo katika mazingira na hali halisi ya Tanzania Kusini. Andiko hili linakuwa na maelezo mazuri ya mila na desturi ya kibena pamoja na ya hali ya wakati wa Uhuru wa Tanzania (Ujamaa). Kwa hiyo andiko hili ni sauti nzuri na kumbukumbu muhimu ya njia ya kuelekea na kutengeneza uhuru nchini. Kwa hiyo andiko lake limetafsiriwa sasa katika lugha ya Kiswahili.
Bestellnummer: 9783872149077
EAN: 9783872149077
Urheber: Judah Bernard Matata Kiwovele (Autor / Autorin)
Produktart: Buch, PB
Einbandart: Softcover
Auflage: 1
Seitenzahl: 275 Seiten
veröffentlicht: 27.05.2011
Abmessungen: 14.8 x 21 cm

15,00 €
pro Stück
Alle Preise inkl. MwSt.
Verfügbar
Judah B.M. Kiwovele aliandika doctoral thesis hii mwaka wa 1982. Alijaribu kuunganisha mapokeo ya kiutamanduni ya kibena na mafundisho ya Martin Luther ili kuonyesha njia ya "inculturation" ya Imani ya Kikristo katika mazingira na hali halisi ya Tanzania Kusini. Andiko hili linakuwa na maelezo mazuri ya mila na desturi ya kibena pamoja na ya hali ya wakati wa Uhuru wa Tanzania (Ujamaa).
Kwa hiyo andiko hili ni sauti nzuri na kumbukumbu muhimu ya njia ya kuelekea na kutengeneza uhuru nchini.
Kwa hiyo andiko lake limetafsiriwa sasa katika lugha ya Kiswahili.
Eigene Bewertung schreiben
Nur eingetragene Benutzer können Rezensionen schreiben. Bitte einloggen oder erstellen Sie einen Account
Alle Preisangaben ink. Mwst. | © 2022 ALPHA-Buch.de